Faraja Nyalandu Aja Na Tovuti Kwa Ajili Ya Wanafunzi

Aliyewahi kuwa mshindi wa miss Tanzania mwaka 2004, Faraja Kota Nyalandu jana asubuhi alizindua tovuti yake maalum ambayo itajikita katika kusaidia kutoa mawazo mbadala katika kukabiliana na changamoto za kielimu kwa wanafunzi wa shule ya upili lakini kwa O-level. Faraja alisema katika tovuti hiyo kutapatikana taarifa za habari… Read More →