Ambaka Msichana Waliokutana Nae face Book

Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Taiwo Oluwatobi amekamatwa na polisi akituhumiwa kumdanganya mpenzi wake wa kwenye facebook kwa kumualika nyumbani kwake na kumbaka. Oluwatobi alikutana na binti huyo mwenye umri wa miaka 24 akijulikana kwa jina moja Temitope kwenye facebook, inasemekana alimualika nyumbani kwake huko Alagomeji, Yaba… Read More →