Wajumbe Wa Bunge Maalum La Katiba Waaswa
Aliyekuwa kuwa Mwanasheria wa Kenya Mh.Amos Wako amewataka wajumbe wa bunge maalumu la katiba kuchukua tahadhari kubwa katika kuiga namna ambavyo nchi zingine zimefanya ili kuweza kupata katiba mpya na siyo kunakili kila jambo… Mwanasheria huyo mstaafu na ambaye kwa sasa ni seneta wa jimbo la busia mashariki ameyasema hayo… Read More →