Janga Wilaya Ya Hai Mkoa Wa Kilimanjaro, Mvua Yabomoa Nyumba, Kaya1005 Hazina Makazi
Jumla ya nyumba 265 katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro zimeezuliwa paa na nyingine zimebomoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Taarifa hiyo imetolewa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya hai Bwana Melkzedeki Humbe wakati wakipokea msaada wa chakula na mabati ,kutoka kampuni ya vinywaji baridi ya… Read More →