Update: Kupigwa Risasi Muandishi Wa ITV Ufoo Saro, Kamanda Wambura Aelezea
kamanda wa polisi wa mkoa wa kipolisi wa kinondoni kamanda Wambura Ameiambia Radio One Stereo tukio hilo limetokea majira ya alfajiri ya leo. Kamanda wambura ameongeza kuwa mwanaume huyo anafanya kazi umoja wa mataifa UN huko sudani ila bado haijafahamika kwamba anafanyia kitengo gani (japo kwa habari za mtaani zinasema… Read More →