Hizi ndio sababu zinazomfanya Agness Masogange na Mwenzake Wawe Huru
Ujumbe Wa Masogange Agness baada ya kuwa huru WATANZANIA wawili, Agnes Gerald (Masogange) na mwenzake Melissa Edward waliokamatwa nchini Afrika Kusini kwa madai ya kusafirisha kilo 150 za dawa za kulevya wanayo nafasi kubwa ya kuachiwa wakati wowote kuanzia sasa, Raia Mwemalimeambiwa. Ingawa ripoti za awali zilieleza kwamba Watanzania hao… Read More →