Mellisa Edward,Mwenza na Agness Masogange Aliyekamatwa Na madawa ya kulevya
Mellisa Edward Picha ya Mrembo Mellis Edward aliyedakwa na madawa ya kulevya Afrika kusini akiwa na Agness Masogange Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward” ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha… Read More →