Wanafunzi zaidi ya ishirini wenye umri wa kati ya miaka 7 – 9 wanusurika kifo.
WANAFUNZI zaidi ya ishirini wenye umri wa kati ya miaka 7 – 9 wa shule ya kimataifa ya St Charles iliyopo Don Bosco katika Manispaa ya Iringa wamenusurika kifo baada ya gari waliyokuwa wamepanga lenye namba T415AEG kushindwa kupanda mlima na kupinduka. Ajali hiyo imetokea jana mchana katika eneo la… Read More →