Jux – Looking For You (Official Music Video) ft. Joh Makini

Hii ni latest ngoma ya mkali Jux, ngoma inaitwa “Looking for you” feat Joh Makini, kwa mara ya kwanza ilikuwa-premired on MTV Base,ina siku kama tatu tangu ipigwe kwa mara ya kwanza, it is still fresh,chukua muda wako kuitazama…