Leo Ni Siku Ya Mtoto Wa Afrika, Je? Unazijua Haki Za Mtoto?
Leo Juni 16 2014 kila mwaka huadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika, Baadhi ya watoto nchini Tanzania wameitumia siku ya mtoto wa Afrika kuiambia jamii kwamba ihakikishe inawapa nafasi ya kusikilizwa ma kushirikishwa katika mambo mbalimbali. Katika haki ambazo mtoto amekuwa akidhulumiwa na haki ya kusoma, kucheza, kusikilizwa na kuishi,… Read More →