Pamoja na haki ngumu ya kiuchumi inayoikumba Zimbabwe kwa sasa,
Chama tawala cha nchini Zimbabwe ZANU-PF chapanga kuchangisha fedha kiasi cha dola milioni moja kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ambaye atatimiza miaka 90.
Rais Mugabe ataadhimisha siku ya kuzaliwa februari 21 lakini sherehe hiyo imepangwa kufanyika februari 23 huko Marondera