
Huyu jamaaa ni mbunifu wa mavazi nchini Nigeria anaitwa Omoniyi Makun, lakini zaidi jina maarufu anajulikana kama Yomi Casual lakini pia ni mdogo wa mchekeshaji maarufu nchini humo AY,
Mbunifu huyo alifanya party ya kuzindua mjengo wake jumapili ya may 4 ambapo yeye mwenyewe ameshare picha hizi zinazomuonyesha akiwa na marafiki zake wa karibu wakati wa bata hilo la mafanikio makubwa.
Nyumba kama utakavyoiona katika picha inavyumba vinnne vya kulala na mazaga zaga kama utakavyoona
Wabunifu wetu mupooooooo
