
Chriss Brown a.k.a loyal singer asema atashinda tu na akalinganisha jinsi Allen Iverson alivyompita Michael Jordan. Chriss Brown amesema atamshinda Usher Raymond katika shindano la kucheza. Chriss Brown na Usher Raymond ni wakali ambao wanaheshimika sana katika kubreak na Usher ni mwanafunzi wa Michael Jackson guess who is best hapo?
“Ona sipendi kuwa najisifu tena zaidi ya hapo, lakini linapokuja swala la kucheza, unaposema Chriss Brown na unasema kucheza inatakiwa ulete kucheza kwa hali ya juu, Ni kama Allen Iverson alivyompita Michael Jordan, kuna tofauti kidogom, miondoko hii kidogo ni mipya” alisema Chriss Brown akipiga stories na MTV.
“Absolutely not,” Brown replied.
Sway Calloway ambaye alifanya mahojiano hayo pia alimuuliza Chriss B kama akishindishwa na Usher Raymond kucheza je atashinda?
“Absolute Not” alijibu Chriss B.
Usher na Brown walishirikiana kwenye ngoma inaitwa “New Flame” Rick Ross alisaidia ngoma hiyo hiyo kufanyika ilitoka August 2014, waote walionekana wakicheza kwenye video ya ngoma hiyo.
