Hatujapata nafasi ya kumuona mara nyingi Christina Aguilera kwa kipindi hiki akiwa na mimba lakini kila tunapopata nafasi ya kumuona anakuwa mwenye furaha akienjoy maisha.
Safari yake ndogo aliyotoka kwenda kufanya manunuzi ya vitu akiwa na mchumba wake Matt Rutler alionekana akiwa amevalia nguo nyeusi iliyombana ikionesha mimba yake vizuri kabisa akaongezea kutinga koti la jeans, miwani yake nzuri, pochi yake mkononi na kofia yake ya mviringo huku akionekana mwenye furaha nyingi…
Go Christina…go Christina….go go…best wishes in your life.