Msanii Ciara Aliyeachana na mzazi mwenzie Future miezi mitatu baada ya kupata mtoto amewatoa nishai jarida la Us Weekly baada ya kuandika uongo kumuhusu
Jarida hilo liliandakia: ‘Ciara Talks About Motherhood and Life After Future Split: I’m Focused, “Very Happy”.
Ciara Amekanusha kupitia ukurasa wake wa tweeter ya kuwa hajazungumzia kitu kama hicho na jarida hilo bali alizungumza na jarida hilo kwenye upande wa Urembo Tu
Hiki Ndicho Alichotweet Ciara