Mafanikio Ya muziki barani Africa yanaonekana wazi kabisa baada ya msanii wa Nchini Nigeria Davido ambaye ametumia mamilioni ya pesa kwa kuwanunulia zawadi Manager wake Kamal Ajiboye na Producer wake Shizzi kwa mchango mkubwa waliochangia kufikia mafanikio yake katika Muziki wake kwa mwaka huu
Davido Amenunua Magari aina ya Mercedes 450 GL kwa ajili ya Manager wake na Porsch Cayenne kwa ajili ya Producer