Sean Combs, Big Boss wa Bad Boy Mkali P.Diddy anazidi kupaa juu katika rank ya watu bora wanaomiliki majumba makali huko Los Angeles, TMZ imegundua P.Diddy amenunua estate kwa dola milioni 40 katika eneo bora katika sehemu ya jiji hilo.
Kwa sasa P.Diddy anamiliki European Villa huko Holmby Hills…karibu na alipofia Michael Jackson.
Estate hiyo ina vyumba 8 vya kulala na bafu 11, The main house lina eneo la mraba 17,000 na eneo la maraba 3,000 kwa ajili ya nyumba ya wageni., Na kuna spa zilizotenganishwa ambayo inayo steam room, massage room na beauty salon.
Diddy, with the help of mega-realtor Kurt Rappaport, was on the hunt for an L.A. home for years.
Nyumba hiyo ni mpya…imejengwa miezi sita iliyopita.