Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) Adman Nyando, akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea Urais, Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, leo Agosti 4, 2015, katika Ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.