Kendrick Lamar na Kahlil Joseph wameungana kwa ajili ya kufanya filamu fupi ya “m.A.A.d” ikiwa inazungumzia sana sana albamu ya kwanza ya K.Dot ya “good kid m.A.A.d city”.
Filamu hiyo imepangwa kuwa ya dakika 14 na itafanywa kwenye tamasha linalokuja la Sundance taarifa za Fader zilieleza.Joseph ameshinda tuzo ya Sundance na filamu ya “Until The Quiet Comes” aliyofanya kazi akiwa na Flying Lotus.
Good kid m.A.A.d city albamu ya kwanza K.Dot ndo itakuwa story kuu katika filamu hiyo ya dakika 14, filamu imepangwa kuonyeshwa kwa mara ya kwanza Agosti 9 pale Ace Hotel huko Los Angeles na katika filamu hiyo ataonekana Kahlil Joseph, Tina amepangwa kuperform siku hiyo.
Filamu Fupi Ya “Good kid m.A.A.d kid city” ya K.Dot Kutoka Agosti 9
Related Posts
-
-
Mwanamitindo Wa Cameroon Na Mke Wa Tajiri Mkubwa Wa Mafuta Anayejisifia Kujichubua
-
Shilole Afungiwa Mwaka Mmoja Kutojihusisha Na Muziki
-
Kim Kardashian Mwanadada Asiyeisha Vituko,Mara Hii Akiwa Kitaa Bila Sidilia
-
WEMA SEPETU AITAMBULISHA KAMPUNI YAKE YA ENDLESS FAME MBELE YA WANAHABARI.
-
Baada Ya Kaka Wa Nick Minaj Kukamatwa,Dada Mtu Amtolea Dhamana
-
MUSIC VIDEO PREMIERE PARTY: “Joto Hasira” Leo Nyumbani Launge.