Mpenzi wa zamani wa Mayweather Shantel Jackson amefungua kesi dhidi ya bingwa masumbwi duniani Floyd Mayweather ambae Jumapili Septemba 13 atakuwa na pambano kali dhidi ya Maidana.
Kesi hiyo inamshtaki Mayweather kwa kosa la kumtishia bastola, akimtishia kutoa picha zao wakiwa uchi kitandani na kumwambia she is s*** bila yeye, makaratasi ya kesi hiyo yameeleza.
Floyd anashtakiwa kwa kumsumbua kimwili dada huyo na kihisia, na kesi hiyo inatarijiwa kuwekwa wazi hii leo.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari jana Shantel Jackson akiongozana na mwanasheria wake Gloria Allred aliwaambia maripota kwamba Floyd Mayweather alimsahmbulia katika matukio mbalimbali na hata kumtishia bunduki akitishia kumshoot.
Katika kitu cha kushangaza makaratasi ya mahakama, yalionekana kwenye Mailonline ikisema Mayweather ameshtakiwa kwa kumpiga, blackmailing, imprisonment na kumuibia mpenzi wake wa zamani Shantel Jackson.
Mwanmasumbiwa huyo bingwa wa dunia, ambae amapengwa kuzichapa na Marcos Maidana Jumapili Septemba 13, Mayweather akipigwa Jumapili na Maidana kesi hii inaweza ikawa imechangia asilimia 0.1 kumsababishia kupigwa kwa sababu kesi hii imefunguliwa ikiwa bado siku chache kufikia pambano lake.