
Kwa Mujibu Wa FashionClimaxx Gauni la Lupita Nyong’o Ndio gauni linalochukua jackport kama gauni kali zaidi kweye Tuzo za Oscar 2014 ikiwa amevalia ubunifu wa #prada
Kate Hudson akiwa kavalia ubunifu wa Versace
Camila Alves
Charlize Theron akiwa amemvaa Dior
Sandra Bullock Kavaa Dior pia
Jennifer Lawrence #Dior
Angelina Jolly yeye kamvaa Eliesaab
