Gauni alilolivaa mke wa Rais Wa Marekani wa sasa Michelle Obama wakati wa kuapishwa kwa mume wake Barak Obama Limeingia katika Makumbusho Ya Taifa Ya Marekani.
Ni kawaida ya kila anapoapishwa Rais Mpya Gauni lake kuwekwa katika makumbusho ya Historia ya Marekani, Gauni la mama Obama Limetajwa kwa vigezo ya kwamba mara ya pili Gauni lilinzingatia Urahisi wa kumfanya atembee vizuri bila Gaun kumsumbua kwa kutoweka mkia wa gauni katika style ya kuburuza au mashanga shanga ambayo yangemkwaza labda badala yake likawa ni gauni zuri jembamba na refu lililomfanya apendeze na awe confortable
Hata Hivyo inaonekana kuna makosa aliyafanya kwenye viatu wakati wa kuapishwa kwa mara ya kwanza hivyo kumlazimu kuvaa viatu vyenye kisigino kifupi wakati wa kuapishwa kwa muhula wa pili jambo lililomfanya aonekane katika kimo kizuri na mumewe kutokana na Fist Lady Huyo Kwenda Hewani Kwa Aina yake kunakolingana karibu na mume wake
Aina ya mitindo ya Mama obama ndio inaswemwa kuwahi kupendwa zaidi ya ma first lady wengi waliopita