Imeripotiwa Watu 40 wameuwawa huku wengine zaidi ya 162 wamejeruhiwa katika tukio la ugaidi lililotokea katika Mall Ya Westgate mjini Nairobi jana jumamosi september 21 likuhusisha wanamgambo wa Alshabab wakieleza ni kujibu Operation ya jeshi la kenya inayoendelea huko Somali.
Hapa ni picha za Tukio zima marabaada ya wanamgambo hao kushambulia Mall hiyo ambayo ni maarufu kutembelewa na watu Matajiri.
Watu wakikimbia kuokoa maisha yao huku Askari na wanajeshi wakipambana na wanamgambo hao lakini pia na watu ambao wamepoteza maisha