Kwa mujibu wa kituo cha Television cha E kinachorusha vipindi vyake mkongwe katika fani ya chekeshaji Bibi Joan River yupo chini ya uangalizi katika chumba cha wagojwa mahututi katika hospitali ya Mount Sinai Jijini New York
Moyo wa bibi Joan Ulisimama ghafla kwa muda wakati akiendelea na pasuaji wa koo aliokua anafanyiwa katika clinic moja huko NYC na haraka aliwahishwa hospitalini
Binti yake Melisa ambaye hutangaza nae kipindi chake cha fashion police, alisafiri kutoka Los Angles jana usiku alisema
“I want to thank everyone for the overwhelming love and support for my mother. She is resting comfortably and is with our family. We ask that you continue to keep her in your thoughts and prayers.” Melissa said in a statement…
Bibi Joan Rivers alikuwa New York kwa ajili ya ku promote Kitabu chake kipya cha kiitwacho Mad Woman ndipo alipokwenda kwa upasuaji pia, hata hivyo alishatengeneza na kipindi chake cha fashion police mapema wiki hii na alionekana akiwa na Afya Njema kabisa