Iweje Raha kama hii siku yangu ya kuzaliwa kuiadhimisha mwezi mtukufu kama huu wa “Ramadhan” Nasema asante Allah!! kwa kunijalia maisha mema mimi, familia yangu, ndugu zangu, rafiki zangu na watu wote.
Nasikia furaha sana kwangu leo Alhamisi 24 Julai……Ramadhan Kareem!!