
Ingawa alipanga kuileta furaha siku ya Christmas, lakini kutokana na hali ya kiafya aliyoipata mwanamama star wa “Keeping Up With Kim Kardashian” ilibidi tu ajifungue, Kanye West na Kim kwa sasa wanajivunia kuwa baba wa watoto wawili,baby boy ambae jina lake bado haijulinani anaitwa nani na North West ambae rasmi dada amepata mdogo wake wa kiume.Mitandao ilijawa taarifa kuhusu kuzaliwa kwa mtoto mwingine wa Kanye na Kim.
Kwa maana hiyo basi inaonekana mtoto huyu atakuwa akifuatiliwa sana na vyombo habari na kushindwa kufanya mambo yake binafsi kuwa na privacy.
Watoto wengine ambao wanaweza kukuwa wakichukia vyombo vya habari ni hawa:
