Ukistaajabu Ya Mussa Huachi Kuyaona Ya Firauni
Huko Brazil kumefanyika mashindano ya miss Makalio ambapo mrembo Indianara Carvalho’s ndiye aliyeibuka mshindi wa taji hilo kwa mwaka 2014
Bibie huyo mshindi aliwashinda wenzake 27 waliokuwa wanachuana nae na kumfanya kuvikwa taji hilo lenye jina la Miss BumBum Brazil 2014
Mashindano yalifanyika jana jumanne 19Nov huko Sao Paolo, Brazil. huku mshindi huyo kutokakatika jimbo la Santa Catarina akijipatia zawadi ya $2k Cash na kiasi kingine cha $23k cash kwa mkataba wa kufanya modeling
Tazama Picha Ambapo washiriki iliwapasa kupita mbele ya majaji na kuwageuzia makalio yao wayaone vixuri kabisa wakati wa catwalk
Nafikiria mashindano hayo yangefanyika hapa kwetu…,,, kungekua na kila aina ya makalio bila vipimo maalum lol