
Tanzania inaandika historia kupitia msanii Diamond Ambaye amechaguliwa katika tuzo za BET 2014 za huko marekani ikiwa ni mara ya kwanza kwa mtanzania kuwakilisha na msanii pekee kwa afrika Mashariki kuwepo kwa mwaka huu
Diamond Amechaguliwa katika kipengele cha BEST INTERNATIONAL ACT AFRICA na hapo anashindania na wasanii Davido wa Nigeria, Mafikizolo wa South Africa, Tiwa Savage wa Nigeria, Toofan na Sarkodie wa Ghana.
the OFFICIAL #BETAwards #BestIntlActAfrica nominees 2014!….
BET wenyewe wamethibitisha kupitia mtandao wao wa tweeter na kumpongeza Diamon
