
Kiukweli hili tukio mimi lilinipita sijui nilikuwa wapi au ni wamarekani waliamua kuficha siri hii mpaka mambo yalipokaa sawa kutokana na sababu za kiusalama,
Jana wakati nimekaa sina hili wala lile nikasema kutokana na kwamba Tata wetu Madiba Ameshazikwa na ni tukio la muda mrefu wacha niji refresh kwa kutazama mambo tofauti ndio nilipoweka channe ya NATIONAL GEOGRAPHICAL inayopatikana Katika king’amuzi cha DSTV, mara nikaona kipindi kinachofuata kinaitwa AMERICAN BLACK OUT nikavutiwa na JINA LA KIPINDI kabla sijasoma Maelezo ya nikitu Gani.
Baada ya kipindi kuanza ndipo niliposhikwa na mshangao nakujiuliza tukio hili lilitokea lini na kwanini sikulisikia, wakati akili inawaza labda ni siku za zamani sana nikamuona Rais Obama wa sasa Wamarekani Analizungumzia Nikagundua ni tukio la sasa, bahati mbaya nilishindwa kusoma maelezo kutokana na kitufe cha info cha remote yangu ku jump, lakini niliendelea kuliangalia tukio na kulielewa vizuri kabla sijamuomba Rafki yangu wa karibu kinisomea maelezo na kuniambia nitukio la lini kabla sija Google,
Nitukio lililotokea kama mwezi mmoja au miwili iliyopita tu ilikuwa ni October 27
Hao ndio wamekuwa wa kwanza kuripoti mabaya yetu ya Afrika mara yatokeapo lakini kwa upande wao mambo huwa tofauti
Labda mnisaidie wenzangu mlilistukia maana mie nilipitwa hasaa
A cyber-attack takes down the grid and leaves millions of ordinary people without electricity. Follow the first-hand stories of five different groups stranded in the darkness as their desperate scenarios unfold. What happens when the lights go out? How long would it take for civilization to crumble? Would you know what to do? On October 27th, you will learn what it means to be powerless. Its interesting that this American Blackout show aired just before the grid test that is scheduled to occur Nov 13-14 2013 here are the links for the article and the show.
NI TUKIO LA KUTATHMINIKA IKIWA INGETOKEA INGEKUWAJE???
