Zikiwa zimebaki siku 11 kufanyika tuzo za BET mwaka 2014 Chriss Rock akiwa host, tiketi zinapatikana kuanzia sasa, Gold tiketi, Diamond tickets na mkali kutoka Afrika Mashariki anaetuwakilisha sio Tanzania ni Afrika mashariki atakuwepo kama akiwakilisha this time around tuombe Mungu achukue ili apeperushe vyema bendera ya nchi yetu Tanzani na Jumuiya ya Afrika Mashariki.Ukiwa na tiketi ya Diamond unakuwa na Access ya
- Orchestra seat for BET Awards
- BET Awards Pre-Show and Red Carpet Experience, including:
- Access to the VIP-only premium hospitality lounge to sip champagne, eat hors d’oeuvres and enjoy prime views of the Red Carpet
- Walk the BET Awards Red Carpet
- Opportunity to enter the BET Awards alongside the celebrity guests
- Premium floor ticket within first 6 rows of all 3 STAPLES Center concerts
- Hospitality lounge with food and cocktails at STAPLES Center before and during concerts
- Ticket to all Club Nokia late-night shows
- Conga Room VIP After-Party Passes every night
- Exclusive sneak peak with access to a BET Awards rehearsal
- Exclusive BET Experience VIP gift bag
- Access to VIP hospitality tent at Fan Fest
- Admission to GRAMMY Museum at L.A. LIVE exhibit throughout weekend
- VIP Priority Entrance to Fan Fest, Genius Talks, Celebrity Basketball Game and other events throughout the weekend
Ukiwa na tiketi ya Gold unapata nafasi ya
- Loge seat for BET Awards
- Premium 100 Level ticket for all 3 STAPLES Center concerts
- VIP Priority Entrance to Fan Fest, Genius Talks and Celebrity Basketball Game
Diamond yuko kwenye kipengele cha:
Best International Act: Africa akishindana na:-
Davido (Nigeria)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Mafikizolo (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Toofan (Togo)