I'm Me, And That's All I Can Be
Home
News
Za nyumbani
International
Entertainment
Movies
Bongoflava
music Xpress
Fashion
Bongoflava Top 20
Contact
- Navigation
Home
News
Za nyumbani
International
Entertainment
Movies
Bongoflava
music Xpress
Fashion
Bongoflava Top 20
Contact
Huddah Achanganya habari Kifo Cha Paul Walker wa Movie ya Fast & Furious,Marehemu Alifrahia kifo Chake
02 December 2013 by
Salma Msangi
+
in
Entertainment
News
International
Entertainment
Movies
-
No Comments
Baada ya habari za kufariki kwa Ajali Star wa movie ya Fast & Furious jana jumapili mchana kila aliyepata habari hiyo alitamani angekuwa wa kwanza kutoa habari hizo, Hapo ndipo mara nyingine umakini wa kutoa taarifa unapungua kwasababu ya HARAKA na hicho ndicho kilichomkuta Muwakilishi wa Kenya katika shindano la Big Brothe the chase Hudah Monroe baada ya Kutweet akidhani Paul Walker ni Paul Wall Ambaye yeye ni Rapper
Mtandao Mmoja Wa kenya NairobiXposed uliripoti mchemsho huo wa Huddah Ambaye anajaribu kutafuta Kick kila kukicha ili kuendelea kuweka sokolake juu
Paul Walker amefariki akiwa na umri wa miaka 40 huko Marekani Kusini mwa Calfonia Kwa ajali ya Gari Akiwa na Rafiki Yake na Walker akiwa kama abiria katika Gari hilo Amabalo ni lake
Hata Hivyo imeonekana Marehemu Alifurahia na kutabiri kifo Chake Baada maneno aliyowahi kuyasema Walker Kabla Ya Kufariki Huko Nyuma Yakiashiria Hivyo ya Kwamba “Siku Akifariki Kwa Sababu Ya mwendo Kasi Msilie kwasababu lazima atakua alikua kwenye Tamasamu
Mungu Ampumzishe Kwa Amani Paul Walker Na Rafiki Yake
Share this:
Facebook
Google
Twitter
Email
Comments
Previous Story
KARIBU ROSE'SY HOTEL MWANANYAMALA, ZAMA NDANI ZAIDI KUIELEWA VIZURI
Next Story
Ajali ya Tren Yaua Wanne Huku Ikijeruhi wengine zaidi ya 60 Jijini New York
Related Posts
Aliyeshambulia Bus Tour La Lil Wayne Afungwa Jela Miaka 20
New Music Audio: Peter Msechu Ft Ally Nipishe Isikilize hapa
Muathirika Wa Mkorogo Anayejutia Nafsi Yake , Upo Kundi Gani?
Video ya Yahaya ya Lady Jay Dee kuzinduliwa kwa bonge la party
Khole Kardashian Awa Kwanza Kufika Hospitali Baada Kim Kardashian Kujifungua
Ufunguzi Wa Kombe La Dunia Brazil 2014 Ulivyofana Brazil
Wamaasai Waliopangwa Kutoa Burudani Kwa Rais Obama Kenya Hawa Hapa
Send to Email Address
Your Name
Your Email Address
Cancel
Post was not sent - check your email addresses!
Email check failed, please try again
Sorry, your blog cannot share posts by email.