Men!! Hivi ndivyo aliyewahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa kutoka Kenya socialite Huddah Monroe alivyozindua nguo zake.
Huddah anameta akiwa amevaa top ya njano, ameonekana amevaa uchi kabisa hakuna nguo ya chini, hakuna kitu.
Picha hizo Huddah alipost picha hizo kupitia instagram.