Rapper Ice Prince amethibitisha ku perform kwenye Tuzo Za BET zinazotarajiwa kufanyika June 29th katika ukumbi wa Nokia Theater Huko Los Angles Marekani
Ice Prince ambaye ameshachaguliwa mara mbili kuwania tuzo katika kipengele hicho cha Best International Act Africa, Ambapo aliwahi kuwa mshindi katika kipengele hicho mwaka uliopita
Ice Amethibitisha ku perform akiwa pamoja na wasanii wengine kutoka Afrika wanaowania kipengele Hicho katika jukwaa moja watakalo perform wasanii wakali kutoka Marekani
Pamoja Na Ice Prince wengine watakao livaa jukwaa usiku huo ni pamoja na msanii wa kike Wa Nigeria na mshindi wa tuzo ya mtv mama Tiwa Savage, Duo Mafikizolo pamoja kutoka bondeni Afrika Ya kusini na Rapa kutoka Ghana Sarkodie Ambao watakuwa kunye mzunguko wa kutoa Burudani wakati wa shughuli hiyo kwa ujumla kuanzia siku ya uwakilisha june 28
Itakua ni mara ya kwanza kwa wasanii Kutoka Afrika Kushiriki kutoa burudani kama moja ya watumbuizaji katika usiku wa tuzo hizo za BET
Wasanii Wote hao Tajwa hapo wapo katika kunyang’anyiro cha ‘Best International Act Africa’ katika Tuzo za BET 2014
hAPA kwetu Tanzania Kuwakilishwa na Msanii Diamond Katika Kipengele Hicho.