Bi Aziza Mhamed ambaye aliamua kujisitiri katika choo chake baada ya upepo mkali uliombatana na mvua kuzoa nyumba yake..,
Baada ya mvua na upepo mkali kuvuma wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro zimeifanya familia hii kuishi chooni kitendo ambacho kinaweza kuhatarisha maisha yao kiafya…