Uchaguzi Meya Dar es salaam hatimaye umekuja na matokeo ambapo diwani wa Vijibweni Kigamboni jijini Dar es salaam, Mhe. Isaya Mwita wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo nchini (CHADEMA) ameibuka mshindi wa nafasi hiyo baada ya kuzitwaa kura 84 dhidi ya kura 67 za Yenga Omary-wa Chama Cha mapinduzi (CCM).
Kura 7 za uchaguzi huo zimeharibika.