Cozz ametoa stories hizo kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika Beginning of a new life Dreamville Committee Interscope Signed na J. Cole aliandika Welcome to Dreamville @cody_macc May all your Dreams come true, work hard stay hungry make classics.
Msanii mwenzake kutoka label hiyo ya Dreamville Bas alimpongeza Cozz kupitia twitter aliandika “Shoutout to the boi @Cody_Macc!! The team stacked @Dreamville .”
“Tunawapa wasanii muongozo, muziki, idea mpya, wao wanatumia nguvu na uzoefu wao wa miaka mingi na kuwapa push ya ukweli, tunategemea kuongeza list ya albam ya wakongwe ambazo zilitengenezwa mjengoni” alisema J.Cole.