Baada ya kupost picha hii ya wanawake wajawazito pamoja nae akiwa katika Baby shower iliyofanyika kwa wakati mmoja jamaa huyu akazua mjadala katika mitandao ya kijamii kama inawezekanaje awe amewapa mimba wanawake wawili kwa wakati mmoja naye kuhudhuria baby shower huku wanawake hawa wakionekana kufurahia?