
Titanic Mpya kuizidi Allure???? Maana tumejionea mradi wa ujio wa pacha mwenzie na Titanic ilozama karne hizo za mbali tukitajiwa na bei ya ticket kuwa si chini ya bilioni 1.5, vipi? Itakua zaidi ya hii????
Sina hata haja ya kutaja wapi ni wapi picha zinajieleza hizo, alafu unajiita unala bata bataaa angalia watu wanaomaanisha kula batraaaa lol. Huu sio mradi kitu kipo majini hicho live live. Bei ndo sijajua bado sijui ticket yake nayo hii bei gani maana hii imeitwa ya abiria labda yaweza kua na kanafuu na sie tujaribu japo viholiday au vifungate japo kwa siku mbili mbili tu. Sifa yake kwa maneno ni hivi :
THE ALLURE OF THE SEAS 1,187 feet (360 meters) long
- 208 feet (64 meters) wide and 213 feet (65 meters) high from the water line
- 30 feet (9.1 meters) draft
- 22 knots cruising speed
- 16 passenger decks and 24 passenger elevators
- 4 bow thrusters with 7,500 horse power each
- 5,400 guests (double occupancy) 6,296 guests total
- 2,384 crew (From apprx. 80 countries)
- Balcony: 1,956, Outside: 254, Interior: 496 Staterooms with additional berths: 683
- Wheelchair accessible staterooms: 46
