
Mwanzoni watu walijiuliza inawezekanaje Jay Z na Beyonce marafiki wakubwa wa Kanye West kukosa harusi yake, sababu kubwa ya Jay Z na Beyonce kutohudhuria kwenye harusi ile rasmi ilianzia kwenye mapigano kwenye lifti, Ingawa Newyork post wanasema hii ndio sababu ya kweli:-
“Waliepuka harusi ya Kanye West na Kim Kardashian kwa sababu ilikuwa sio ya gharama sana kwa thamani ya Jay Z na Beyonce kuhudhuria, Wanalinda sana heshima yao, Beyonce asinge mruhusu Kardashian kuwa nae, Jay Z hakutaka Kanye West kuwa na Kardashian, anadhani ni mbaya kibiashara, Nadhani pale Jay Z alipoteza heshima kwa Kanye West”
