Baada ya karibia kura milioni kuamua nani anavalishwa taji, Kanye West ndiye ameibuka kama Most Stylish Man kwa mwaka wa pili mfululizo, GQ wanasema personal style ya Kanye West iliongoza 2015….Mimi mwenyewe namkubali sana Kanye huwa anatupia sana.