Kazi katika Daraja la Mpiji lililoko Mpakani mwa Dar Es Salaam na Bagamoyo bado ni kubwa na Bado wanaendelea kumwaga mawe na kifusi lakini kazi inaonekana bado ni kubwa sana ambapo inaonyesha maji yameacha mkondo wake wa kupita chini ya daraja na kuchimbua pembeni ya daraja ambapo kuna muunganiko wa daraja na lami..