
Baada ya kusikia Kelly Rowland kafunga ndoa nikatamani sana kujua ilivyokuwa natumai hata wee ulitamani kwa jinsi dada huyu alivyo mtulivyo asiyekuwa na makeke wala kashfa
Radar Online ni mtandao uliotoa picha za harusi yao ndogo kwa watu maalum iliyofungwa kwa siri huko Costa Rica May 9
Kelly mwenye umri wa miaka 33 Amefunga ndoa na Manager ambaye pia ni mcumba wake wa siku nyingi Tim Witherspoon
Tazama Picha Hapa
