Lil’ Wayne amelazwa tena hospitali kutokana na kushambuliwa na kifafa.
Kulazwa kwake kumekuja wiki kadhaa baada ya kulazwa tena kwa tatizo kama hilo.
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Wayne alipekwa hospitali ya Cedars-Sinai juzi usiku na walinzi wake ambako alitibiwa na kutolewa jana.