Kim Kardashian hakuficha kuhusu matatizo yake aliyopitia akiwa na mimba,akiwa anasumbuliwa na ugonjwa unaitwa placenta accrete,ikiwa ni hatari sana kwa maisha wakati ukiwa na mimba hata ukiwa hauna mimba.
Tunaambiwa madaktari ilibaki kidogo apate accrete tena na kumuweka yeye mtoto katika hatari.
Kim Kardashian na Kanye West mtoto wao waliempata Saint atakuwa wa mwisho lakini akipata mimba tena atakuwa anacheza na moto.
Chanzo kimoja cha karibu na familia anasema Kim pia anaogopa kupata maumivu mengine (uchungu) wakati wa kujifungua kama alivyopata wakati akijifungua Saint,na hicho kilimsaidia kufanya maamuzi mapema.
Lakini tunaambiwa wawili wameridhika kabisa kuwa na watoto wawili,chanzo cha stori hii kinasema wako bize na North na Saint,mtoto mwingine itakuwa too much.
Kwa Saint West tunaambiwa yuko vizuri sana,anakula fresh,analala sana akuwe na pia alii sana katulia tu.
Congrats West family for the new baby boy SAINT.
Chanzo: TMZ