
Kimbunga kilicho ambatana na upepo mkali kilizua nyumba zaidi ya 30 ikiwemo makanisa,maduka na kujeruhi watu ambao idadi yao bado haijafahamika.
Kwa mujibu wa mashuuuda walisema tukio hilo lilianza mida ya saasita mchana kikivikumba vitongoji vya Iwindi,Jeshini,Mtakuja,na Tarafani ambapo kimbunga hicho kilizua mapaa ya nyumba,makanisa na maduka.
