
Mwana muziki Lady Jay dee Ameghairisha show yake ya miaka kumi na tatu iliyokua ifanyike tarehe 31 mwezi huu katika ukumbi wa Nyumbani Lounge kupisha msiba wa Msanii Mwenzie Albert Mangwea aliyefariki jana nchini Afrika ya kusini.
Lady Jay Dee anaghairisha show hiyo mpaka itakapotangazwa tena . Kuhusu walionunua ticket Lady jay dee atatoa tamko rasmi muda si mrefu.
endelea kutembelea mtandao huu kwa update za kila mara kuhusu msiba huu.
