
Katika top 5 ya mkali huyo yupo Drake, Kendrick Lamar, J.Cole na Kanye West wasanii watano wakali anaowakubali, akiwa anappiga stories na HipHopDx makao makuu akiwa anaachia albamu yake ya sasa ya Under Pressure, ndipo alipowataja wasanii hao watano katika kiwanda cha muziki anaowakubali.
Alimtaja pia Dylan, na alikuwa akicheka mwenyewe kabla hajaanza kutaja list hiyo.
Alisema hao ndio wasanii wa kwanza anawaweka katika top 5 ingawa kuna wasanii wengi, lakini aliomba samahani kwa wengine ambao hajawataja, akasema anawapenda wengi.
Katika list ya Logic unadhani nani amesahulika? Na wewe taja wasanii wako watano wakali.
