Host wa Universe 2015 Steve Harvey kila jicho na lawama ziko kwake baada ya kumtangaza Miss Universe 2015 kimakosa lakini hakuwa huyo amabye alimtangaza yeye kama ndiye mshindi.
Alitangaza kwamba Mis Colombia Ariadna Gutierrez alikuwa mshindi, watu wakakumbatiana kupongezana, kushangilia, maua huku na huko, akapause mbele ya camera kama yeye ndiye mshindi unajua inakuwaje lakini Steve alishangaza umati kwa kutangaza tena mshindi ni mwingine kwamba alikosea.
Okay folks, natakiwa kuombha msamaha, mshinndi wa kwanza ni Misss Colombia kwa maneneo mengine Miss Universe ni 2015 ni Miss Philippines Pia Alonzo Wurtzbach!.
Aliendelea huku akizuia machozi,sikiliza flks, ngoja mimi nisimamaie kila kitu, hiko ndicho kilichopo kwenye kadi, nitawajibika kwa hili,lililikuywa kosa langu,lilikuwepo kwenye kadi, kosa baya kabisa hili, msiende kinyume na waanawake hawa tunajisikia vibaya sana lakini tulikuwa na wakati mzuri.