Jumamosi Ya 22Nov Radio Magic Fm Ya Dar Es Salaam ilizinfua masafa yake mapya Huko mtwara kupitia 92,9 masafa yanayofanana na Ya Dar Es Salaam
Masafa mapya yalizunduliwa huku yakiambatana na sherehe za miaka 14 ya Magic Fm
Magi fm imekua ikiendele kupanuka kila wakati kadri siku zinavyosoge, Ilianzaia Dar Es Salaam miaka 14 iliyopita kupitia 92.9 inaenda Arusha kwa 98.6 Mwanza 101.7, Dodoma 93.3 , Tnaga 101.7 Na sasa mtwara tumewafikia kwa 92.9
Magic Fm inapatikana pia Online
Hivi ndivyo Shangwe za mtwara zilivyokuwa
Uzinduzi Huo pia Ulisindikizwa na Burudani kutoka kwa Mwanamuziki wa taaram Mzee Yusuph, Lady Jay Dee pia alikuwepo na Ommy Dimpoz, Pia usakaji wa vipaji vipya vya muziki ulifanywa na Muandaaji wa muziki Nchini Man Water Ambapo mshindi atapata nafasi ya kunyanyua kipaji chake chini ya label ya combination Sound