
Katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja wake na kudhihirisha NMB ni benki yenye nia ya dhati kuwahudumia wateja na kurahisha maisha ya wananchi, sasa NMB wamekuletea Foreign Exchange ikiwa na lengo la kurahisisha bishara kokote duniani.
Foreign Exchange unaweza kununua na kuuza fedha za kigeni ikiwa ni kwa bei nafuu zaidi kuliko sehemu nyingine, ikiwa ni benki inayoongoza kwa ugunduzi (Innovation) wa huduma ambazo zinatija kwa wananchi bila kuwa na makato makubwa, unaweza kununua na kuuza fedha kutokana na bei iliyopo kote duniani na kufanya muhamala ndani ya saa 1.
Wengi wakisikia Foreign Exchange mawazo yote yanakwenda kwa Bereua De Change, lakini vipi kwa mtu yule aliyeko kijijini akitaka kununua pesa za kigeni au akitaka kufanya malipo nje ya nchi? NMB imezidi kurahisisha mambo na kuleta kampeni ya Foreign Xchange kupitia tawi lolote La NMB.
Kupitia NMB Foreign Exchange mtu yeyote awe na account ya NMB au asiwe nayo ataweza kununua kitu chochote kokote duniani kupitia NMB Foreign Exchange, unaweza kulipa hata ada ya mtoto wako anayesoma nje ya nchi kwa haraka zaidi pamoja na manunuzi mengine kuendana na gharama ya nchi husika, haya yote NMB inafanya kwa haraka na usalama.
Ikiwa ni benki ambayo inaongoza kwa kuwa na matawi mengi zaidi nchini Tanzania, itamuwezesha hata mkulima aliye kijijini kufanya biashara na mfanyabiashara aliyeko China ikiwa ni nchi ambayo wananchi wengi wanafanya biashara na wafanyabiashara waliopo huko.
Sio lazima uwe na account ya NMB ndio utaweza au kununua, kulipia bidhaa nje ya nchi, utafika ofisi yeyote ya NMB utaelekezwa cha kufanya kwa kujaza fomu maalum na kuweza kupata huduma kwa haraka kwa muda wa saa moja tu, ukitumia NMB benki katika pia unakuwa na usalama zaidi katika kuepeukana na kupewa fedha bandia au kuuziwa fedha kwa kulanguliwa.
Huduma ya Foreign Exchange kwa kiasi chochote utakachotuma NMB benki itakata kiasi kidogo kabisa ikiwa ni dola 44 tu. Kupitia benki ya NMB unaweza ukawa na Account ya US dollars, euro, Sterling, Japanesse Yen, South African Rand na Kenyan shilling. Katika kutuma fedha kote duniani infahamika kama SWIFT Society for Worldwide interbank Financial Telecomunication ambayo inatoa ujumbe kote duniani pale muhamala unapofanyika na kuhakikisha usalama wa pesa zako,
NMB inaahidi soko kuwa na huduma ambayo ni bei nafuu kwa mwananchi wa aina yeyote kutumia, ikiwa ni huduma za uhakika, za haraka na salama. Wameangali bei za huduma zao na kuhakikisha zinakuwa ni bei zinazoleta ushindani katika soko na mwisho wa siku NMB inabaki kuwa benki yenye huduma za nzuri na zisizo na makato makubwa.
Accounts nyingine zinazopatikana katika benki ya NMB katika matawi yake yote ni pamoja na NMB Personal Account, NMB Bonus, NMB Business Account n NMB Time deposit katika fedha kuu tatu ikiwemo U.S Dollars, EURO GBP huku accounts zote zikiwa na riba nzuri kwa mteja ispokuwa Account ya NMB Business Account ambayo yenyewe ni kipekee.
Katika kampeni ya Foreign Exchange inayoletwa na NMB unaweza ukabadilisha fedha za kigeni taslimu au bila kuwa nazo taslimu kwa U.S Dollars, EURO na GBP na fedha nyingine zinaweza kubadilishwa lakini sio pesa taslimu ni Japanese Yen, South African Rand na Kenyan shilling.
Na kubadilisha huku kwa fedha kuna muhusisha mtu mwenye account na NMB na mtu asiye na account na NMB, Foreign Exchange ni kwa ajili ya kila mtu, pia ukifungua account ambayo ukiwa unahifadhi fedha riba yako bila kupinga itakuwa kubwa kuliko ukiwa umehifadhi pesa benki kwa pesa za Kitanzani kwa sababu pesa yetu ni ndogo ukilinganisha na zile za wenzetu.
Pia ukihifadhi pesa zako katika fedha za kigeni itakuwa si rahisi kwako kuzitumia kuliko ukiwa nazo za Kitanzania kwa hiyo hii itakusaidia pia kuhifadhi fedha huku ukitegemea riba kubwa pindi fedha itakapokuwa imekaa benki kwa muda mrefu kwani husaidia hata riba yake kuwa nono, isitoshe ikiwa umehifdhi .
Ukiwa unataka kupatiwa huduma ya Foreign Exchange na NMB unaweza ukawasiliana na Idara ya Hazina pindi unapotaka bei maalum au kujua chochote kuhusu Foreign Exchange kwa kupitia email- treasuryfo@nmbtz.com au kwa kupiga simu moja kwa moaj 022 2161254-7.
Joseline Kamuhanda – Senior Manger Corporate Affairs & PR
Jeremiah Lyimo – Treasury Dealer
Boma Rabala – Manger Retail Liabilities
Richard Regasira – Head of Treasury Sales
T
Team NMB kutoka kushoto ni Lilian Kisamba (CSR Projects Speacialist, Richard Rwegasira (Head of Treasury Sales), Boma Rabala (Manager Retail Liabilities, Joseline Kamuhamba (Senior Manager Corporate Affairs & PR)
